asalaym alaykum hii ni picture tulio piga when we were at pongwe
pongwe ni fukwe ambayo iko ndani ya kisiwa cha zanzibar ungauja ni fukwe ambayo haina mahoteli mengi lakini ni nzuri for resting,relaxing,celebrating na kadhalika. Watu wengi hupendelea kwenda pongwe kwa ajili ya kufanya starehe zao kwani pongwe ni sehemu iliyo jificha,nisehemu ambayo haikaliwi na watu wengi. lakini ni nzuri ya sana na inavutia. I and my friends we went pongwe to relax/rest. there we did a lot of thing.
